Msaada jinsi ya kupunguza Tumbo

Msaada jinsi ya kupunguza Tumbo

PUMKIN

Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
17
Reaction score
5
naomba anayefahamu jinsi yakupunguza kitabi kwa mwanamke,sihitaki kupungua sehemu nyingine yeyotw ila tumbo tu.
 
Labda nikuulize tu, unajua sababu iliyokupelea hadi ukapata kitambi?

Nadhani tukiijua hiyo itakuwa rahisi kutoa ushauri
 
Lala chali huku ukiwa umenyoosha miguu mikono ikiwa kichwani kwa nyuma kisha fanya kama unataka kunyanyuka ukiwa hvyohvyo mara 20 asubuhi unapoamka na ucku unapotaka kulala.then kunywa maji mengi ya uvuguvugu itakusaidia! N.B. Usifanye haya kama ni kitambi cha operation!
 
kumbe ni kitambi bana..
 
Labda nikuulize tu, unajua sababu iliyokupelea hadi ukapata kitambi?

Nadhani tukiijua hiyo itakuwa rahisi kutoa ushauri

Hahahahahaha....!
Mi nilitaka kumshauri asile (aache kula)!!!!
 
Munkari namkubali,umempa maelezo mazuri.
Mazoezi ya kupunguza kitambi ni rahisi sana ila inataka moyo kuyaendeleza.Sio unafanya leo kesho unaangalia kama tumbo limepungua hapo utakwama.

Ila Jua kwamba wakati kwa mwanzo unaweza kujikuta unayaacha mazoezi mwenyewe kama utafanya yanavyotakiwa.Maana mie nakumbuka ngozi ya tumbo na msiuli yake ilikuwa inauma kama imechanwa vile.ila ukikazia tu basi baada ya muda unazoea

Fanya kama alivyoshauri Munkari,na kama ni Muislam hembu jaribu kufunga Sunna za siku ya Ijumatatu na Alkhamis.
Pia usipendelee maji baridi na vyakula vyenye sukari nyingi Habibt.
 
naomba anayefahamu jinsi yakupunguza kitabi kwa mwanamke,sihitaki kupungua sehemu nyingine yeyotw ila tumbo tu.

mmh ina maana sehemu nyingine pia zina vitambi? haya bana wataalmu watalonga
 
Lala chali huku ukiwa umenyoosha miguu mikono ikiwa kichwani kwa nyuma kisha fanya kama unataka kunyanyuka ukiwa hvyohvyo mara 20 asubuhi unapoamka na ucku unapotaka kulala.then kunywa maji mengi ya uvuguvugu itakusaidia! N.B. Usifanye haya kama ni kitambi cha operation!

ah ah ah ah ah ah! aminia physiothelapist!
 
Hahahahahaha....!
Mi nilitaka kumshauri asile (aache kula)!!!!

Duh!! huo si ushauri wa kitabibu mkuu...

Tabibu mzuri ni yule ambaye hupenda kwanza kutambua historia ya mgonjwa...

Huyu ndiyo ana kitambi kama anavyosema lakini kama hatatueleza namna kilivyotokea hata tukimpa ushauri huenda kikatoka na kurudi...au kisitoke kabisa
 
Labda nikuulize tu, unajua sababu iliyokupelea hadi ukapata kitambi?

Nadhani tukiijua hiyo itakuwa rahisi kutoa ushauri
@Watu8 i realy miss you long time dou you remembe me nivea[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

""In life its important to know when to stop urging with people and simply let them be Wrong""
 
Nivea

When can I get to see you buddy ☺️
 
Back
Top Bottom