Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Wanajamvi mimi mgeni ktk ulimwengu wenu wa digital..ila naombeni ujanja wa kuweza kuinstall windows kutoka ktk flash au hdd... niko na mini laptop na sina externel dvd rom...natanguliza shukrani