wakuu naomba msaada jinsi ya kujiunga na program ya whatsup kwenye simu yangu NOKIA N73,Inakataa.msaada plz,natanguliza shukran
N73 haiko supported kwa kuangalia site ya Whatsapp ila jaribu kusearch ovi
kwenye ovi inakuja bt jns ya kui download inakuwa ngumu,msaada hapo