Visa ya Dubai ni simple kupata,
Ila kuna issue ya kudhaminiwa maana vijana wakipata visa wakienda wana overstay
Mpaka upate mtu wa kukudhamini kwamba ukienda utarudi,au uweke deposit ya kuku guarantee 2 million
Visa kwa mwezi mmoja ni 150 USD
Miez mitatu ni 200 USD it depend na agent alokutaftia visa,
Ila ukiombea Tz lazima uweke deposit ya milion kama 2 kwa atakayekutaftia visa ili ukioverstay aitumie kulipa faini,
Lakin kama una mtu anayeish dubai unamtumia hela anakutaftia visa bila deposit, ye ndo anakudhamini kwa EMIRATES ID yake,
Nauli inategemea umebook ndege gani na msimu.upi, kama sasa.kuna punguzo la ramadhan kwa EMIRATES ni 380 USD return ticket
Sehem za kuish,
Dubai wanakaa kwenye Bed spaces, yaan mnachangia vitanda na kwa mwezi ni AED 600 sawa na laki 3 na 40 ya Tz,
Nakushauri chukua visa ya miez mitatu iwe rahisi kwako kupata kazi, usichukue ya mwezi mmoja itakusumbua,
Fanya hivi
Nauli 900,000
Visa 300,000
Room 700,000 kwa miez miwili angalau,
Chakula andaa 15000 per day
2,500,000 inakutosha kabisa