Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
Salaam Wakuu;
Nimekusudia kuondoka nchini hivi karibuni kwa ajili ya kwenda nje ya nchi kutafuta fursa za kazi(professional & unprofessional),sehemu niliyokusudia kwenda ni Dubai(UAE).
Gharama za safari na accommodation kwa ujumla ninazo,na NAHITAJI KWENDA KWA NJIA HALALI.
Niko hapa mbele yenu kuuliza/kuomba ushauri kwa wazoefu wa safari za ughaibuni;nahitaji kufahamu yafuatayo;
*Ninawezaje kupata Visa ya Dubai kwa urahisi?.(maana maagent wengi wanatoa 14 days visit visa na wanasema sitakiwi kujihusisha na masuala ya kutafuta kazi kwa aina hiyo ya visa,pia ni NON EXTENDABLE)
*Visa ya muda gani napaswa kuapply itakayoniwezesha kutafuta kazi bila kiwewe?.
*Ni Visa ya aina gani nzuri itakayo niruhusu kutafuta kazi na endapo nikipata naweza kuibadili na kupewa work permit(pasipo kutoka nje ya Dubai) - CONVERTABLE VISA.
*Kuna mwana JF yeyote humu anayeishi Dubai anipe ABC'S.
*MIMI,
*Ni kijana(Me)
*Afya njema
*Sijaoa
*Elimu:Chuo kikuu(na nyongeza).
*Nipo Dar es salaam
*Nina Passport(valid,8yrs).
NB:Kama kuna yeyote anayehisi ana confidential information(kuhusu Dubai)na anahitaji kushare na mimi tu(personal)- nawakaribisha Pm wakuu.
Pia,niko open kupata mawazo tofauti ya wapi/nchi gani inafaa zaidi,kutoka kwa wajuzi wa mambo,na kama atatokea mtu aliye tayari kunikaribisha aliko kupitia invitation letter - (Lakini kila kitu najitegemea mimi nitafurahi zaidi).
Natanguliza shukrani wakuu.