mkuu we hufai kutoa ishauri utasababisha maafaMbona rahisi.Fanya yafuatayo:Mfuate siku moja akiwa barabarani,Msalimie kisha mzibue bao la uso moja,Hajakaa sawa mtama hadi aanguke chini.Hapo watu watakuzingira na kukupiga kidogo.Utapelekwa polisi,ukiulizwa kwanini umempiga askari,Wewe sema unampenda lakini yeye hakupendi.Akisikia hivyo atakuonea huruma na mwisho kukukubalia.Wana huruma sana hao ila ni wagumu kumkubali MTU.Nasubiria mrejesho najua utanishukuru tu kwa ushauri na mbinu hii.
sasa si unipe ushauri au