Msaada jinsi ya kupata confirmation code

Msaada jinsi ya kupata confirmation code

Mato Alfred

Member
Joined
Aug 17, 2016
Posts
37
Reaction score
10
Nimechaguliwa SUA lakini nipo kwenye multiple selection, nataka ku-confirm SUA lakini confirmation code sijatumiwa, nawezaje kuipata hiyo confirmation code? Na mwisho wa ku-confirm ni lini?
 
Nimechaguliwa SUA lakini nipo kwenye multiple selection, nataka ku-confirm SUA lakini confirmation code sijatumiwa, nawezaje kuipata hiyo confirmation code? Na mwisho wa ku-confirm ni lini?
Mkuu confirmation code unafanya kuiomba kwenye account yako ya sua

*Request confirmation code*
Kisha utajaza namba yako ya simu kisha wao watakutumia humo.

Wahi mapema sana maana bado siku tatu tu wafunge, tarehe 17
 
Nimelog in nimekuta wamejaza e-mail yangu mi nikaweka namba ya simu nimerequest lakini hawajatuma.
 
Back
Top Bottom