Msaada: Jinsi ya kupata awards verification

ilambona

Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
84
Reaction score
16
Wandugu samahanini,mimi n mhitimu wa diploma koz ya kilimo sasa mwaka huu nilihitaji kusoma sasa nimeanza kujaza taarifa za awali hizi kujaribu kuomba mkopo nimekutana na inshu ya awards verification na nimesikia ilianza mwaka jana naomba mwenye uelewa anisaidia maana nasikia itatumika had kwenye kuomba vyuo pia.
 
Ingia katika website ya Nacte utakuta muongozo jins ya ku verify
Nimeingia ndio ila nashangaa kila nikijaza naambiwa kuwa index no ishatumika wakat mm sijawahi omba tangu hii system iianze mm niliomba chuo 2016 sasa hata nikilog in wananiambia password sio nikijaribu ku recovery password wananiomba payment code ile kitu ambacho mm sijawahi lipia
 
A
Nawapigia simu hawapokei nimewaandika sms tangu jana hata hawajibu wananichanganya sana
CHANA NA HAO NACTE NI VIMEO KWELIKWELI KAMA UNA SHIDA NAO BORA UWAFATE OFISINI KWAO
 
Hyo
 
This
 
Ushindwe ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…