Msaada: Jinsi ya kuondoa admin pasword kwenye PC

B30

New Member
Mar 29, 2017
1
0
Maomba nielekezwe jinsi ya kuondoa admin pasword kwenye pc bila kuformart plz.
 
ingia kwenye bios set up utaona sehem ya password weka old password kwenye kibox cha kwanza halaf vingine pitisha cursor bila kubonyeza key yoyote.. then save.. mission done!
 
Back
Top Bottom