Hellow there,
Ok ndugu, kwanza hujaspecify ninini unachotaka kununua online but sio issue, nitavigroup kwenye makundimatatu.
· Download links.
Zinaweza kuwa links to download music, movies, books,programs or other stuffs which fall into that category.
· Services
Inaweza kuwa membership in websites, hosting plans, domainnames, email address and others.
· Physical objects.
These can be either clothes, books, movies, electronic devices,house equipments, machines and others which require shipping.
Ok now lets check how you can buy each of those.
Kwa downloadable links and service, mara nyingi njiazinazotumika ni instant payments kama vileCredit or Debit Cards kam vile Visa, Mastercard, Delta and MAestro. Bank za Tanzaniazinazotoa card hizo ni CRDB with their Tembocard Mastercard pia Barclays withtheir Visa. Also unaweza kutumia Western Union(don't even think about it, it SUCKS)
So utahitajika kujaza order form, upon payment verification,you will be redirected to a new page with your download or service link.
Kwa physical objects, kidogo kuko complicated, njia zamalipo ni kama za hapo juu but pia kuna Baruaya benk, (tembelea tawi lako watakusaidia zaidi kwa njia hii)
Hapa pia lazima utazame kama unachotaka kinakubalika kuwashipped kuja Africa, bidhaa nyingi hawakubali.
So in summary.
Tembelea mtandao husika.
Tazama page yaoya FAQ
Tazama kama unakidhi vigezo wanavyotak, kuhusushipping napayment options.
Place your order in order form and you are done.
USHAURI WANGU.
kama ni downloadable linksau service, usinunue bali post hapa unachokitaka tunaweza kukusaidia kukipatafor FREE au alternative yake.
kama ni lazima unune, do not EXPOSE your credit card for yoursafety, ni bora utumie njia kama PAYPAL nirahisi na safe zaidi
Good luck and KAribu wanajamvi wengine