Msaada jinsi ya kunlock galax s4 .

NR'S

Senior Member
Joined
Feb 14, 2012
Posts
106
Reaction score
12
jamani nisaaidien niweze kutumia hii simu kwan nimeshidwa kunlock mwenye njia au software anisaidie niweze kunlock itumie line za tz
 
jamani nisaaidien niweze kutumia hii simu kwan nimeshidwa kunlock mwenye njia au software anisaidie niweze kunlock itumie line za tz
  • Mkuu simu yako ni ipi kati ya hizi.

  • Samsung Galaxy S4
  • Samsung Galaxy S4 mini
  • Samsung I9190 Galaxy S4 mini
  • Samsung Galaxy S4 Active
  • Samsung Galaxy S4 Zoom
  • Samsung Galaxy S4 mini duos

  • Kama simu yako ni moja kati ya hizo, Ingia kwenye huu uzi.
​
Code:
[/B][URL]https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number.html[/URL][B]
Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…