Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,232
- 39,961
Kujiendekeza 100% wala asikudanganye. Huyo wa mbeya anajulikana kwa kujizoelesha kwa wadada wengi tu, na wadada ambao walishacome across nae ni wahanga wa huyu dada hasa wake za watu.
Kwanza unachotakiwa kujua hiyo ni roho kamili ya Ibilisi inayomwendesha, u can do nothing kumsaidia.
Stay away from her, till th day atajapopata msaada wa kiroho na aamue yeye mwenyewe kuacha, otherwise ua in few days to come.
Asithubutu kutaka kumsaidia!!! Maana Me naona anakutega ukijashtuka umeliwa! Stay away from her, hata mdogo wako nakosa imani nae, angalia mdogo wako asijekuwa sehemu ya wewe kujikwaa ukaangukia mtegoni. Kila la kheri.