Habari ya usiku wandugu,
Jamani mimi nimepatwa tatizo leo, kuna binti anafanya kazi na mdogo wangu leo nilienda kumsalimia dogo nikamkuta yupo na huyo mwenzie nae ni muajiriwa wa hapo. Huyo binti sasa ndio tatizo kumbe ni lesbian, yani kanizoea gafla mara dada nakupenda una rangi nzuri mara mrembo yan sifa kibao.
Mara akaomba namba nikampa kama mdogo wangu, ile natoka tu pale zikaanza msg mara nakupenda sana naomba uwe mke wangu! khaa sasa me nikamuulza wewe mwanamke kma mimi utakuaje mume wangu?, akajbu et yeyi tangu azaliwe hajawahi kusex na mwanaume na hajawaih kupata hamu ya kuwa na mwanaume, so akawa kama ananiomba msaada nimsaidie atoke kwenye hali hiyo.
Mimi nimemuitikia tu kwamba nitamsaidia lakini hata sijui nitaanzia wapi. Naomba msaada jamani kwa yeyote anaeweza kunipa mwanga au hata kma anaweza kumsaidia binti huyu atoke huko aliko kimahusiano please ani pm. Binti yupo huku mkoani Mbeya.
Asante na poleni kwa kusoma maelezo marefu