Msaada Jinsi ya Kujua Mahali Namba Ya simu Ilipo(Mkoa)

Camera naiuza njoo na 800k ni mpya kabisa njoo inbox tuongee haina tatizo lolote ni mpya kabisa imetumika miezi mitatu tu bland Nikon D3500 pia Nina copy machine HP coloured nayo ni mpya ina miezi mitatu tu lisit zipo INA warranty zake bado hazijaisha bidhaa in good conditions wala haina tatizo lolote njoo inbox tuongee maongezi na kupunguziana kupo

[emoji724] *DALALI HAHITAJIKI FOR SERIUS BUYER ONLY*

Au WhatsApp me 0656958801
 
Mwenye majibu tafadhali tunamsubiri
Location inatolewa na watu wa network unayoitumia tu.... Na ni katika vitu ambavyo access wanayo wachache sana.... Zamani ilikuwa unapiga tu kwa wana then wanakuchekia fasta... MNARA, ANTENNA (sector) anayotumia... Si mnakumbuka yale mawasiliano yaliandikwaga kwenye gazeti la kubenea kwamba ZZK kawasiliana na huyu, mara yule kawasiliana na yule siku na muda fulani..etc.. ile ilipelekea watu kadhaa kutimuliwa kazi na access kupewa wachache sana
 
Sawa

Back
Top Bottom