mpatto
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 766
- 1,033
Habari!
Kuna hizi huduma za kulink zitolewazo na mula cellulant cooperative, kama vile kununua luku, kutuma pesa n.k kwa kutumia no hii *150*78#
Sasa nimenunua luku muda kama wa nusu saa sasa, lakini mpaka sasa bado hawajanitumia hizo no za kuingiza kwenye luku.
Pengine nimekosea, labda mwenye kuelewa kuhusu kununua luku kupitia Mula basi anisaidie.
Na pia, mnisaidie namba zao za huduma kwa wateja!
Asante!