Msaada Jinsi ya kujiunga chuo cha TIA

Msaada Jinsi ya kujiunga chuo cha TIA

Yasin Yahya

Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
33
Reaction score
0
Natumai mpo poa, naomba mnisaidie kidogo niliomba kujiung na TIA kwa ngazi ya cheti.

nimechaguliwa lakini sijafahamu vitu gani natakiwa kuchukua baada ya kuliona jina langu ili kukamilisha usaili?
 
TIA bila shaka ni Dar,

ushapeleleza kuhusu accomodation availability kwa watu wa ngazi yako?

vitu vya msingi ni hivyo mkuu, meals and accomodation costs + education allowances.
 
Accaunt na ugavi kwa maana Accaunt- unasomea Uasibu na Ugavi-unasomea ubwanam masoko kwa jila lingine ugavi ni PROCUREMENT ivo tu rafiki nadhani umenipata
 
Natumai mpo poa.
naomba mnisaidie kidogo
niliomba kujiung na TIA kwa ngazi ya cheti.
nimechaguliwa lakini sijafahamu vitu gani natakiwa kuchukua baada ya kuliona jina langu ili kukamilisha usaili?

katafute joining instruction..
 
1. Application forms can be downloaded at
TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY and submitted to any of our
Campuses DAR ES SALAAM, MBEYA, SINGIDA,
MTWARA & MWANZA OR sent to CHIEF
EXECUTIVE OFFICER P.O. BOX 9522, DAR ES
SALAAM. Forms must be accompanied by
evidence of payment of non refundable fee of
Twenty Thousand Shillings (T.Shs.20,000/=).
Applicants should pay the application fee
through our Bank Account No. 2061100017
NMB and submit Bank Pay-in-slip to the
Institute.
2. All applications must be attached with
genuine photocopies of all academic
certificates/results Slips, transcripts,
Statement of results or relevant certificates
where applicable. Candidates are warned not
to attach photocopies of forged certificates or
irrelevant Information on their application
forms otherwise they will not be considered
and legal action will be taken against them
 
samahan jamani nimeapply apo tia by nacte lakin cielewi
 
Uongozi wa tia msaada wenu mbona result selection ziinachelewa sana za walioomba kujiunga na kozi za certificate na diploma apo chuoni kwa mwaka 2016-2017
 
1. Application forms can be downloaded at
TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY and submitted to any of our
Campuses DAR ES SALAAM, MBEYA, SINGIDA,
MTWARA & MWANZA OR sent to CHIEF
EXECUTIVE OFFICER P.O. BOX 9522, DAR ES
SALAAM. Forms must be accompanied by
evidence of payment of non refundable fee of
Twenty Thousand Shillings (T.Shs.20,000/=).
Applicants should pay the application fee
through our Bank Account No. 2061100017
NMB and submit Bank Pay-in-slip to the
Institute.
2. All applications must be attached with
genuine photocopies of all academic
certificates/results Slips, transcripts,
Statement of results or relevant certificates
where applicable. Candidates are warned not
to attach photocopies of forged certificates or
irrelevant Information on their application
forms otherwise they will not be considered
and legal action will be taken against them
Samahani mkuu hivi Kuna njia nyingine ya kuapply chuo cha tia bila kupitia nacte? Naomba msaada ili nifahamu ndugu
 
Mwaka huu NACTE hawahusiki na vyuo... So unaomba bila kupitia NACTE
 
Back
Top Bottom