[FONT=arial
black][/FONT][FONT=arial
black]jamani nimekuwa mwanachama wa facebook km miezi
minanae sasa ila nataka kujiondoka kabisa pia niondoe picha zote yaani
nisiwe na account humo..... nifanyeje???????????????????:spy::A S
confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S
confused::A S confused::A S
confused:[/FONT]
hili swala tumesha liongelea humu ndani mara 2, hebu jaribu kupitia threads nyingine utaona.
watu wengine mkitukanwa mna mind, sa unajkuta mjuaji af kumbe sifur kwan ukrudia kumwambia kunashda gan, had umwambie atafte?? Je unajua thread ngap zmesha post wa!! Ckunyngne kama hujui unaachatu co lazma kupost mana hakuna tuzo......
mbona unajibu kama hu2mii akili kijana, kuna umuhimu gani wa Button ya Kusearch? Kauliza kaambiwa kiustaarabu kua mada ishajadiliwa aitafute kwa maelezo zaidi na naamini ni NingaR huyu ndo alieleta link na maelezo ya kujitoa sasa unataka kutukana ya nini? "Ficha ujinga wako".
ndugu unajua kazi za search bar kweli?
Kumbe siku hizi watoto wa kike wanabalehe? basi ndiyo maendeleo yenyewe hayo..Wewe juha sikiliza, hakuna shida kama huyo NungaR angempatia hiyo link badala ya kumzodoa. Kama mnayo si mtoe tu shida nini kujishaua kama watoto wa kike wanaobalehe?
watu wengine mkitukanwa mna mind, sa unajkuta mjuaji af kumbe sifur kwan ukrudia kumwambia kunashda gan, had umwambie atafte?? Je unajua thread ngap zmesha post wa!! Ckunyngne kama hujui unaachatu co lazma kupost mana hakuna tuzo......
kijana kuwa mstaarabu unapo andika kitu, unajua kua hapa tunajaza saver ya JF?? pia kuna seach box ndio kazi yake hiyo, nimemwambia kua kuna thread humu inayo ongelea suala hili, ilikua nikitendo cha kusearch tu sio mpaka utoe maneno ya kuudhi namma hii.
mbona unajibu kama hu2mii akili kijana, kuna umuhimu gani wa Button ya Kusearch? Kauliza kaambiwa kiustaarabu kua mada ishajadiliwa aitafute kwa maelezo zaidi na naamini ni NingaR huyu ndo alieleta link na maelezo ya kujitoa sasa unataka kutukana ya nini? "Ficha ujinga wako".
kwel ukwel unauma.. unajua hujielew mkuu.. Kwan ye hajui kuna bar ya kusearch had akaulza?? we ultaka asearch in assumption without to knw the actual title of tht thrd.. Usiish kwa assumption kuwa unachojua ww kla mtu anajua b a modern man coz vdole havlngan... SAMAHAAAANI LAKINI...