Msaada: Jinsi ya Kujifunza Kutumia Bunduki

Msaada: Jinsi ya Kujifunza Kutumia Bunduki

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,662
Wakuu habari za usiku?
Naomba msaada ni wapi nitapata mafunzo ya kutumia bunduki maana natarajia kuomba kibali cha umiliki.
Hii ni baada ya kusikoa ushauri wa Kamanda Siro hivi karibuni alipohimiza wananchi tujilinde.
Naomba mnielekeze.
Asanteni sana.
 
Dini yako inaruhusu?
 
HILI SUALA NI MUHIMU SANA NA ,IGP HANA BUDI KULIFANYIA KAZI ILI POLISI WAANZISHE MAFUNZO YA KUTUMIA SILAHA KWA WANANCHI WANAORUHUSIWA KUZIMILIKI.
 
Mafunzo yanatolewa kawe, unajiandikisha kawe kituo cha polisi na maelezo mengine unafanyia hapo.
Mm nimefanyia Mafunzo hapo, unapimwa akili, macho then unasubir leseni yako
 
HILI SUALA NI MUHIMU SANA NA ,IGP HANA BUDI KULIFANYIA KAZI ILI POLISI WAANZISHE MAFUNZO YA KUTUMIA SILAHA KWA WANANCHI WANAORUHUSIWA KUZIMILIKI.
Wangetoa mafunzo hayo hata kama ni kwa malipo ili pia iwe ni vyanzo vya mapato. Muhimu maaskari watoa mafunzo wawe ni waaminifu ili wasiwepo wa kuvujisha habari kwa wazee wa kazi kwamba leo kuna fulani na fulani wanakuja au wametoka kwenye mafunzo na silaha fulani kali lakini hawajajua kuitumia vizuri. Hilo likitokea ni rahisi sana kwa hao wazee wa kazi kuwavizia njiani hao wamiliki na kuwanyang'anya silaha zao kirahisi kutokana na ukweli kwamba wanakuwa hawajawa na uzoefu wa kutumia hizo silaha.
 
Unaweza ukawa unamiliki na ukajua kuitumia hiyo bunduki lakini wala isikusaidie. Wakikutaka wanaokutaka hasa kama upo kwenye orodha ya kutekwa watakuchukua tu

Ukiwawahi wahalifu/watekaji hao ukawadhibiti kwa kuwaua au hata kuwajeruhi wakashindwa kufanya uhalifu wao utajikuta unafunguliwa kesi ya kuua/kujeruhi maafisa "usalama", sijui ni usalama upi hapo!!! Rejea issue ya tajiri wa mabasi ya Zakaria

Nina uhakika kama Mo angewawahi watekaji wake na akawaua/akawajeruhi leo hii angekua anapandishwa kizimbani kujibu mashtaka ya kuwashambulia wasalama

Ikitokea hao wahalifu wakakuwahi wewe na wakakuteka tena iwe hakuna aliyeshtuka au kuwaona, basi tena ndugu zako waweke tu
matanga kwani kiroba kinakuhusu
 
Njoo huku Ngara ujifunze tena kwa practical kabisa tunaingia fonti fedi
 
Silaha kubwa unayo hitaji kwanza ipo kichwani kwako.

AK 47, Rifle, shotgun, gobole, mabomu, atomic/nuclear bomb, gongo, manati, kombeo, mawe, pesa, wadhifa, marafiki, ndugu, majirani, mchanga, kokoto, fimbo, mkuki n.k( zote hizi ni silaha na zinatumika panapo husika)

Akili yako ndio silaha yako na inategemea na uwezo wako wa utambuzi na ufahamu katika kutumia.

Huwezi kutumia bunduki, manati au kofi kumpiga mbu aliyetua katika makende au mapumbu yako .

Kila la heri katika kujifunza kutumia bunduki.
 
Back
Top Bottom