Kishnajr JF-Expert Member Joined Jun 15, 2022 Posts 418 Reaction score 413 Jun 18, 2022 #1 Habar zenu wana forum natumai mko Poa kbsa, naomb msaada wadau km heading inavojieleza hapo juu. Nmejarbu kufuata tutorial nyingi za kuinstall Kali linux kw android lkn nashindwa. Msaada wenu unahitajika waungwana
Habar zenu wana forum natumai mko Poa kbsa, naomb msaada wadau km heading inavojieleza hapo juu. Nmejarbu kufuata tutorial nyingi za kuinstall Kali linux kw android lkn nashindwa. Msaada wenu unahitajika waungwana