baina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 219
- 60
Kama jamvini humu kuna anayefahamu hili anisaidie, kuna pc ilikuwa na WINDOW ya xp sp2 na ilipopata shida akaamua kuformat. Badala ya kufuta WINDOW na kuinstall nyingine aliingiza windows nyingine maana yake zikawa mbili kiasi kwamba hata pc ikiwashwa inakutaka uchague window unayotaka ku-run. Sasa nataka kufuta window nisiyotaka ili ibaki moja, je nifanyeje? Naomba procedure wanajamvi.