Msaada jinsi ya kufungua whatsapp backup data ( msgstore.db.crypt12 )

Mel James

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
354
277
Whatsapp kwa nnavyo jua hua ina save data kwenye root files na ina save data backups(msgstore.db.crypt12) kwenye sdcard ya kawaida
Sasa swali langu ni jinsi ya kufungua ( msgstore.db.crypt12 )
 
Back
Top Bottom