PingPong
JF-Expert Member
- Dec 21, 2008
- 926
- 160
Wakuu habari zenu popote mlipo, mimi nina tatizo la kufungua html files kwenye pc yangu. Nashindwa kuelewa kwa nini hazifunguki coz sio zote kuna baadhi zinafunguka, na kinachonishangaza zaidi ni kuwa zile zisizofunguka nikitumia pc nyingine zinafunguka bila matatizo na nikizihamishia kwenye pc yangu pia zinafunguka ( kumbuka mwanzo zilikuwa hazifunguki) , sasa najiuliza kwa nini kwangu hazifunguki napofungua mara ya kwanza ni mpaka nizifungue kwenye pc nyingine then ndio nikihamishia kwangu zifunguke? je kuna haja ya kuwa na software flani ili zifunguke? natumia windows xp, web browser yangu ni internet explorer. :help: