msaada:jinsi ya kufunga dish la zuku

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
6,539
Reaction score
4,946
Nimenunua dish na dekoda ya zuku mpya sh.65000.niko kijijini sana hakuna fundi.mwenye ujuzi jinsi ya kufunga anielekeze.nawasilisha
 
nimefunga mwnyewe.kilichobaki je nalielekeza wapi?
 
Angalia usawa jua linapozamia yaani magharibi ila liweke likiwa kama limesimama wima hivi chezesha ukiwa unaangalia kupanda na kushuka kwa freq utapata
 
nimekukubari upo kimbiji lakini unatumia jf umetoka polini umekuja balabalani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…