Msaada jinsi ya kuflash galaxy S2 ROM

tumlack

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
675
Reaction score
49
wakuu..habar zenu.

Nipo interested na hii cynogen mod ila tatizo nashndwa ku flash hii rom iliyopo ili nianze ku install cynogen ROM.Natumia Rom manager.
Msaada wakuu
 
Root simu yako kwanza Kisha tumia rom manager kuinstall either cwm au twrp then download rom ya cyanogen eka kwenye folder lolote la simu then boot kwenye recovery wipe kila kitu then utaenda install from SD card chagua cyanogen Kisha flash
 
simu nisha root..tatizo nikisha fika katika clockworkmod nikianza ku install cynogen zip operation inakua aborted.sasa shida sijui itakua nini.
 
Root simu yako kwanza Kisha tumia rom manager kuinstall either cwm au twrp then download rom ya cyanogen eka kwenye folder lolote la simu then boot kwenye recovery wipe kila kitu then utaenda install from SD card chagua cyanogen Kisha flash

ni lazima cynogen ikae kweny internal memory maana mimi nmeweka kwenye external sd.
 
Eka kwenye internal memory na make sure ni cyanogen ya s2 yako ukikosea model utabrick simu.

Pia hakikisha IPO mfumo WA zip
 
Hizo mambo ndizo zinazonitetemesha vidole mimi ka s2 changu kimebaki na 4.1.2 jellybean japo natamani kitkat!
 
Unatakiwa usiwe na pupa jifundishe kidogo dogo Anza kujifundisha kuroot simu kwanza then ujifundishe kuchange recovery then kubadili rom, ni rahisi tu sema inahitaji uelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…