Matty96
JF-Expert Member
- Jul 1, 2013
- 215
- 194
Naombeni mnisaidie waungwana katika kuchezea cm yangu nimejikuta imekuwa bricked... nkiwasha inaishia kwenye logo ya tecno tu... nimejarbu kusoma solutions from hovatek lakn kudownload stock rom ya simu yang wanataka mpaka regstration ambayo imefail..
msaada tafadhali ni jinsi gani nnaweza kuirudisha ifunction kama ilvyokuwa mwanzo... Niko Mbeya
NOTE: Ilikuwa rooted hapo kabla ya haya matatzo
msaada tafadhali ni jinsi gani nnaweza kuirudisha ifunction kama ilvyokuwa mwanzo... Niko Mbeya
NOTE: Ilikuwa rooted hapo kabla ya haya matatzo