Asante mkuu,ila samahani kidogo,stendi ya mabasi nanenane au stendi ipi?Ukifika stand ya mabus dodoma, panda tax /daladala zinazokwenda maili mbili au msalato.
Unashukia kituo chuo cha mipango ni pua na mdomo.
Mwaka 2012 daladala ilikuwa 400 kutoka mjini tax 6,000 sasa hivi sijui imefika bei gani.
Habari za leo wakuu,niko njiani kuelekea chuo cha madini Dodoma kutoka Mwanza,mwenye kufahamu jinsi ya kufika chuoni hapo naomba anielekeze.
1.sehemu ya kushukia
2.Nitakapopata usafiri wa kuelekea chuoni hapo.
3.Nauli ni kiasi gani
4.kitu chochote cha ziada
Natanguliza shukrani[emoji120][emoji120]
Asa
Asante mkuu,ila samahani kidogo,stendi ya mabasi nanenane au stendi ipi?
Au Kama ni mhaya mtani wangu umepanda ndege gani?Umepanda bus gan?
Satco mkuu
Nashukuru mkuuSatco inashusha abiria CBE mjini,
panda boda hadi 77 stendi ni buku tu ,
then panda daladala za mipango au st gema, shukia mipango ni ni jirani na madini..
Kama hauna mzigo mzito ukishuka CBE tembea hadi 77..( unawauliza watu maana sio mbali)
Stendi ya daladala ya mjini ambapo njia zote zinaanzia. Si lazima uchukue bodaboda kwani ni karibu sana, bodaboda unalipa mara mbili mwendo wa dakika tatu kuliko kwenda chuo ambapo sh 400 mwendo wa robo saa.Asa
Asante mkuu,ila samahani kidogo,stendi ya mabasi nanenane au stendi ipi?
Hivi Darlux na wao wana ofisi yao Dodoma kama Shabiby au linaishia nanenane kushusha/kupakia abiria na kusepa. Pale nanenane pana gesti?