Msaada: Jinsi ya Kufanya Nguo ziwe nyeusi

Aug 8, 2017
72
84
Habari zenu wana JF

Jamani mwenzenu Kuna Tusuruali twangu tutatu tweusi tunazidi kupauka...
Nataka ziwe nyeusi zing'ae Kama zamani...
Nifanyaje eti
 
Na nguo ikiwa imepauka ya bluebahari nayo inakuwaje inawezekana kurudi ktk rangi yake ya zamani?
 
Nenda sagulasagula utapata 'serewili' za bei chee kuliko gharama ya kupika suruali katika mirangi ambayo itakuja kuchuja baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…