Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 646
- 945
"Kasongo"????Tumia hilo vumbi la congo
Simba ni nini?nenda kwenye maduka ya wahindi my dear..nunua simba 2 ya India nunua iliki ya India.yenyew huwa nene ya Tz nyembemba.. nununa mchuzi mix ya India..
uje ulete mrejesho hapa😊...bei zao zimechangamka.. kilo 1 ya ilik nahis nw km sikosei 30.. wewe waambie kila kiungo wakupe in grams😊..
simba mbili aka curry powderSimba ni nini?
Duuu kwa pishi hili lazima unitoe kitambi coz nitakula mpk basiBinafsi Mboga haikosi kitunguu Swaumu labda Mboga ya Majani halafu unaweza weka coriender,celery na leeks kuongeza ladha( zinapatikana masoko makubwa),wali - Nazi+ iliki+ njegere kidogo,carrot na hoho,ila kama we ni me huwezi we endelea tu kukorogakoroga mpaka ukioa ndio utainjoi
Mjomba aliponioa alikuwa flat miez kadhaa mwili ukakubali kitambi kule ila sasa maramojamoja nampikia mchemsho maana akiendelea kujaza atapunguza ufanisDuuu kwa pishi hili lazima unitoe kitambi coz nitakula mpk basi
Mjomba aliponioa alikuwa flat miez kadhaa mwili ukakubali kitambi kule ila sasa maramojamoja nampikia mchemsho maana akiendelea kujaza atapunguza ufanis
Kitunguu saum kinasaidia sana kwenye kusimamia shoo muda mrefuBinafsi Mboga haikosi kitunguu Swaumu labda Mboga ya Majani halafu unaweza weka coriender,celery na leeks kuongeza ladha( zinapatikana masoko makubwa),wali - Nazi+ iliki+ njegere kidogo,carrot na hoho,ila kama we ni me huwezi we endelea tu kukorogakoroga mpaka ukioa ndio utainjoi
Binafsi napenda harufu yake inafanya chakula kinukie pia ni dawa Kwa miili yetuKitunguu saum kinasaidia sana kwenye kusimamia shoo muda mrefu
Samahani hayo maduka ya wahindi yako wapi kwa Dar, asantenenda kwenye maduka ya wahindi my dear..nunua simba 2 ya India nunua iliki ya India.yenyew huwa nene ya Tz nyembemba.. nununa mchuzi mix ya India..
uje ulete mrejesho hapa😊...bei zao zimechangamka.. kilo 1 ya ilik nahis nw km sikosei 30.. wewe waambie kila kiungo wakupe in grams😊..
Samahani hayo maduka ya wahindi yako wapi kwa Dar, asante