Msaada jinsi ya kufanya laini isipokee SMS wala call mke anasumbua

Msaada jinsi ya kufanya laini isipokee SMS wala call mke anasumbua

Kuishi na mwanamke asiejiamini kazi sanaaa...!!
 
Ni kiasi gani mkuu mkeo alivyokukamata hauna sauti mbele yake

Acha nikupe pole tu kwa yatakayokukuta
 
Back
Top Bottom