Msaada jinsi ya kufanya laini isipokee SMS wala call mke anasumbua

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,148
2,000
Jana nimechelewa job kulikua na overtime kazini tumerudi sa 3 usiku Asa wife alijua nipo kwa mchepuko wakati sms nilimtumia kua nitachelewaa. Leo asubuhi natoka kwenda job nataka nitume SMS naona SMS haiendi nikastuka kucheki usajili laini ya wife yangu haipo nikarudi, kumuuliza anasema anayo yeye kama salio ataniwekea badae nitumie hii.

Ikabidi nikubali tu maana mda ulikua umeisha wa kazini, nikanunua vocha fasta njiani, nikamtafuta Manzi 1 hivi, kupitia hii laini, saa mbili asubuhi wife anatuma SMS kua ataniunga bando badae, sasa hivi anasema nitakuta salio nyumbani, dah, sasa wasiwasi wangu hii laini asije itumia huyu Manzi akazua utata naomba msaa nizuie call na sms ili asije zua utata. Hapa chini kuna ushahidi.

IMG_20200617_154008_598.jpeg
 

Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
3,303
2,000
Juliasi hawa watu ukicheka utapata tabu sana. Mwambie mkeo iwe mwanzo na mwisho kuchukua line yako ya simu. Simama kama mwanaume, acha kuwa dhaifu.

Anachukuaje line yako alafu anakujibu kirahisi tu hivyo asee.

Usimjibu vibaya ila mwangalie machoni halafu kuwa straight.

Ila nawe acha kuchepuka
 

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,148
2,000
Juliasi hawa watu ukicheka utapata tabu sana. Mwambie mkeo iwe mwanzo na mwisho kuchukua line yako ya simu. Simama kama mwanaume, acha kuwa dhaifu.

Anachukuaje line yako alafu anakujibu kirahisi tu hivyo asee.

Usimjibu vibaya ila mwangalie machoni alafu kuwa straight.

Ila nawe acha kuchepuka
Mkuu mimi sina mchepuko kabisa
 

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
26,267
2,000
Tulia dawa ikuingie ,hahaha ila mkeo genius kinoma aisee hapo tulia ukamatwe vizuri
Hata kama mke wa mshkaji FBI, lakini mwisho wa siku mwanamke huyo ataishia kujijeruhi na kujutia alicho kifanya.
Na pia huyo mwanamke ameiweka ndoa yake hatarini, hivyo naweza nikamuita mwanamke mpumbavu kama wale tulio ambiwa kwenye bible
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom