Msaada jinsi ya kufanya HTML file kuwa PHP

prince john john

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
2,080
3,106
Habari za muda huu ndugu zangu.. poleni na swaumu kwa wale ndugu zangu waislamu..
Nimeandika codes za website kwa kutumia HTML na CSS (static website) na natamani nizifanye kuwa dynamic website kwa kutumia PHP naombeni ushauri ndugu zangu nini nifanye na nini niongeze Ili HTML/CSS codes ziwe PHP..

Nitashukuru sana kwa maongozi yenu ndugu zangu siku njema
 
Je unaijua php??
 
Mbona rais. Fungua editor ya HTLM.. the save hilo file as php. Badala ya kuandika index.htlm. save as index.php.

But remember ukisave as php , browser haitaweza kufungua page , mpaka utumie local server
 
Mkuu kwa local host haionekan ndugu yangu
 
Wewe.. lazima uweke hiyo php file ndani ya file linaitwa HTDOCS .

Fungua disc C, kama unatumia xammp. Gafuta file xammp, fungua utakutana na file linaitwa htdocs. Weka huko hilo php file. Then start server then ndio litafunguka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom