Msaada jinsi ya kudownload TV card Driver & Application | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jinsi ya kudownload TV card Driver & Application

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by panyabuku, Apr 30, 2012.

 1. panyabuku

  panyabuku Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wadau naomba msaada wa kujua kudownload Drivers and Software nilinunua TV card aina ya Light wave (USB TV/AV COMBO with FM) cd imepotea niliformat PC yangu sasa nahitaji kuinstal upya .Naombeni maujanja ya kuipata hii wadau.
   
 2. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kwanza unatakiwa ujue TV card yako ni model gani ili ujue model ya TV card yako angalia hapo kwenye kibati utaona model namba yako mfano hii ni WinTV "PAL-BG/1 61314 Rev BM na baada ya hicho kibati chini yake utaona kampuni iliyotengeneza hiyo TV tuner mfano hii imetengenezwa na Hauppauge computer Works,Inc kwahiyo unakwenda moja kwa moja kwenye website yao mfano website ya hawa jamaa ni http://www.hauppauge.com/ utaingia ktk wesite yao juu uta click support zitatokea TV tuner nyingi utachagua tv tuner yako kwa mujibu wa namba yako uta click hapo utaona driver zako utadownload kwishnehi mfano ndio huo Hauppauge Computer Works natumai darasa umelipata karibu jf


  795px-Hauppauge_Win-TV-Karte.jpg
   
 3. panyabuku

  panyabuku Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mkuu kwanza nashukuru umenipa njia ambayo nimefanya bahati mbaya sikufanikisha kwan Tv tuner yangu Product name yake ni Light wave nimejaribu kuifungua ndani maana ni External Tv tuner model nilishindwa kujua nifuatilie ipi maana nje kwenye box model imetajwa ni LW-UTV-FM na kwa ndani kwa maelekezo nimeona pia kuna namba kama za hapo kwenye picha ambazo ni TN"TNF9022-BF" na website yao ni Shenzhen Tena Electronic Co., Ltd. kitu kilichonishinda hawana support center kwa hiyo nimeshindwa kupata hii software and drive naomba msaada mwingine kwako ubarikiwe.
   
 4. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  ok kama ni hiyo ingia hapa Index of /driver utaona driver za LW-UTV-FM iko chini ni ya tatu kutoka chini jaribu hiyo
   
 5. panyabuku

  panyabuku Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Thanx nimeipata nilichokwama sina Win zip kwan file liko zipped unaweza kunipa msaada hiyo setup yake mkuu samahan kwa usumbufu
   
 6. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
 7. panyabuku

  panyabuku Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mdau nimejaribu hii nayo haijanipa msaada kuna nyingine naweza kutumia kama unayo samahani
   
 8. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  ok pia hakikisha kama tv tuner yako ina detect ukichomeka ina search driver ingia hapa kuchukua driver Light Wave - Technology Simplified ukikosa hapo ingia na hapa Index of /drivers
   
Loading...