Wakuu habari za mwaka mpya 2012,
Nimekuwa nikidownload software mbalimbali bila matatizo lakini inapokuja kwenye games
ndo tatizo linapoanza. Zimekuwa ngumu mno kupakuliwa labda vigame vidogovidogo
kama pool n.k
Naomba msaada wenu wa namna ya kudownload hizi games kama, Godfather, hitman, Fifa
Badboys n.k