Radio yake itakuwa ni subwoofer za mchina.Unatumia optical ipo Kama hivi
LG TV nyingi Zina support optical sijui Kama aborder inayo. Angalia nyuma ya vyote.
Then utahitaji adapterDah kwenye Tv nimeona hiyo option ya Optical input kweli, lakini hii subwoofer yangu ni Aborder, sijaiona hiyo mkuu.. Mbona mtihani
Shukrani itanisaidia hata mimi hiiUnatumia optical,
Then utahitaji adapter
Andaa so chini ya 20,000 kwa waya na adapter inaweza fika Hadi 50,000.
Uhuru na msimbazi Kama unaenda Uhuru na Congo unapata vyote.
Jina la adapter ni digital to analog converter.
Nina LG Led 49 ( Lj515V-Zd), Na nina Radio aina ya Aborder na speaker zake. Sasa nikiweka Flash kwenye Tv nikaconnect na zile nyaya nyeupe na nyekundu kwenye Radio na Tv, Bado sauti naiskia haiji kwenye speaker. Sasa nafanyaje wakuu ? Na kwenye tv wala radio sijaona port kama zile za earphone Msaada jamani kwa anayefahamu ?
Sijaona hapo earphone port zaidi ya hizo tano za rangi.. Na tatu ambapo zimeandikwa satellite, antenna, na optical outputView attachment 1157179
hiyo kijani,nyeusi na nyekundu huwa zina kazi gani chief?Unatumia optical,
Then utahitaji adapter
Andaa so chini ya 20,000 kwa waya na adapter inaweza fika Hadi 50,000.
Uhuru na msimbazi Kama unaenda Uhuru na Congo unapata vyote.
Jina la adapter ni digital to analog converter.
Kijani nyeusi na nyekundu? Zipi hizo mkuu?hiyo kijani,nyeusi na nyekundu huwa zina kazi gani chief?
Zinakuwaga nyuma ya tv na kwenye deck.Kijani nyeusi na nyekundu? Zipi hizo mkuu?
Mkuu red na white siku zote ni Audio, moja inakuwa left na nyengine right (spika za kizamani), na yellow huwa ni video.Zinakuwaga nyuma ya tv na kwenye deck.
Huitwa components ypbr