MSAADA: Jinsi ya kuburn DVD na VCD

MSAADA: Jinsi ya kuburn DVD na VCD

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
589
Reaction score
278
Wadau ninaomba msaada wa jinsi gani naweza kuburn movies nimedownload kutoka youtube zipo vlc na Mp4 nataka nizihamishie kwenye cd; mwenye kujua ni software gani ya kuburn na jinsi gani ya kufanikisha ili niziburn kwa PC yangu anifahamishe tafadhari !

Ahsantei.
 
hata mimi kuna nyimbo nimedownload zipo mp4 sasa nataka zicheze kwenye deki sijui nifanyaje
 
Convert kwa kutumia Any video converter au software yyt ya kuconvert ziende MPEG then ndo uburn.Enjoy!!
 
Ndugu jaribu kutafuta program ya convertxtodvd ambayo inconvert videos zako kwenda Video Objects format (VOB) na kuiburn kwenye DVD. DVD yako itakuwa na menu kabisa kama unavyokuta kwenye DVD za bluray na HD Dvd za kununua
 
Tafuta software inaitwa Total video converter, ukiipata hiyo iinstall, ifungue kisha chukua movie yako uiweke humo itakuonesha unataka kuconvert nini, mf. utaona mp3, mp4, vcd nk.
Chagua vcd baada ya hapo utakuta kuna kitufe kimeandikwa convert iclick, subiri ikishamaliza movie yako itakuwa tayari Vcd.
Fungu burning sofware ya burning, unaweza tumia ashampoo au nero burning, ifungue nero then chagua vcd kisha shuka chini uclick next halafu subiri imalize baada ya hapo Finish, kitu kinakua ok.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu naomba kufahamishwa,Nimedownload movies zingine ziko kwenye Blue ray nataka nizi burn kwenye DVD,Je ni muhimu kuzi convert kwanza to DVD ndio nizi burn (natumia nero trial version ya two weeks)?
Na kama ni muhimu,je ni FREE CONVERTOR gani ni nzuri na rahisi kutumia?
Naomba msaada wenu wataalam.
 
Jaribu ku-burn tu kwenda DVD bila convertion, maana software ya Total Video Converter sijaona neno Blue ray, nijuavyo mimi blue ray ni kama DVD tu tofauti yake ni uwezo wake mkubwa wa kuhifadhi data kuizidi DVD.
 
Tafuta hz
1. Xilisoft video converter
2. Any video converter
 
Back
Top Bottom