Msaada: Jinsi ya kubadilisha Android OS kwenye Smart Tv

trick

Member
Jun 8, 2009
10
2
Hello there, naomba kujua jinsi ya kuformat na kuweka Android OS nyingine kwenye smart TV. Yangu imekuja na lugha ya kichina na hakuna option ya kubadili lugha. Kwahiyo I need to format the Android OS and reinstall an English version....Msaada kwenye tuta pleaseeee...
 
android inakuja na lugha zote sidhani kama hakuna option ya kubadili.

Pia umejuaje na lugha ni ya kichina

unaweza eka picha ya setting hapa?
 
Mkuu najua ni kichina coz nimeinunua china. Shida ni kwamba menu zote ni kichina na sijui niende wapi nikabadilishe language. Tv make and model ni Haier LS58A51. Na operating system ni Ali Yun (OS)...Link ya specification hii hapa Haier / Haier LS58A51 58 inch 4K ultra-high-definition intelligent network flat panel led LCD TV 55
 
yun os imebase na android ila ni os nyengine kabisa, hivyo usitegemee iwe kama android uliyoizoea.

nenda setting (ina alama ya gear) halafu shuka chini hadi uone alama ya icon yenye herufi A (icon ya lugha) click hapo halafu chagua option ya kwanza utapata lugha.

ikishindikana tuma hio picha ya setting au tumia app za kutafsiri toka kwenye picha
 
Mkuu hakuna icon ya gear (settings), na nimejaribu kutafuta kila kona Icon yenye herufi A lkn sijaona kitu..Tatizo nalo ni kua remote ya tv button zake nazo zimeandikwa kichina, so sina hakika MENU ni button gani...nabahatisha tu!! Kwani haiwezekani kuformat hii Yun OS then niweke nyingine ya kawaida?
 
sidhani kama inawezekana, na unarisk ya kuharibu tv yako.

tumia flash eka apk zako halafu zi install then tumia hizo app zako ulizoweka.

ikiwezekana eka kodi then tumia kodi kama os
 
Download application ya google translator kwenye simu yako. Chagua lugha ya kichina to english, then bonyeza icon ya camera (niliyozungushia) halafu elekeza camera yako kwenye hizo texts za kichina, itakupa tafsiri
PicsArt_03-13-04.00.05.jpg
 
sidhani kama inawezekana, na unarisk ya kuharibu tv yako.

tumia flash eka apk zako halafu zi install then tumia hizo app zako ulizoweka.

ikiwezekana eka kodi then tumia kodi kama os
Ok mkuu, asante kwa ushauri...Be Blessed
 
Back
Top Bottom