nina window 7 nimeisave kwenye pc ninayotumia saivi ni ubuntu natafuta msaada jinsi ya kuibadili nianze kutumia window 7
ubuntu ndio basic os nina window 7 kwenye pc nyingine nataka niinstall nitoe ubuntu

umeambiwa weka installation dvd ya W7 sasa wewe lugha lugha !!!!!bila kuweka cd yoyote sitaweza kwan
sawa mkuu naomba unisaidie iyo link mkuuumeambiwa weka installation dvd ya W7 sasa wewe lugha lugha !!!!!
Kifupi huwezi kubadili hiyo OS kama huna Installation DVD au Win to Flash.
Kama hujui pa kupata hiyo windows 7 sema tukupe link udownload na kuburn ISO file
sawa mkuu naomba unisaidie iyo link mkuu

Win 7 hapana kamanda.HATUA YA 1😀ownload the ISO file
32 bit:
http://msft-dnl.digitalrivercontent.net/msvista/pub/X15-65732/X15-65732.iso
64 bit:
http://msft-dnl.digitalrivercontent.net/msvista/pub/X15-65733/X15-65733.iso
HATUA YA 2:Modify the ISO file
UKISHAMALIZA KUDOWNLOAD ISO FILE MODIFY KWA KUONDOA CFG KWA KUTUMIA CFG REMOVER AMBAYO NIMEIATTACH KATIKA FURUSHI HAPO CHINI.
DOUBLE CLICK HIYO CFG REMOVER THEN IELEKEZE LILIPO ISO FILE THEN FUATA MAELEKEZO YA SCREENSHOOT
View attachment 79466
UKISHA MODIFY CFG WINDOWS YAKO INAKUWA KATIKA VERSION ZOTE SO WAKATI WA KUINSTALL UTACHAGUA MWENYEWE UWEKE IPI ULTMATE,PROFFESONAL,HOME PREMIUM,BASIC.......NAKADHALIKA
HATUA YA 3:Burn it to a DVD
WAWEZA KUBURN KWA MAGIC ISO, POWER ISO,ISO RECORDER AU WAWEZA KUEXTRACT NA WinRAR THEN UKABURN NA ASHAMPOO AU NERO.
PIA WAWEZA KUTUMIA WINDOWS 7 USB TOOL (HII NI KWA COMPUTER ZA KISASA ZINAZOSUPPORT USB BOOT)
JINSI YA KUWEKA WIN KWA FLASH KAMATA POST YA #91 ....https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/330840-windows-8-pro-activator-5.html
NYAYO YA 4:Install Windows
WAKATI WA KUINSALL TUMIA KEY HII
22TKD-F8XX6-YG69F-9M66D-PMJBM
HATUA YA 5:Activate Windows
***CFG REMOVER,WINRAR,ISO BURNER,WINDOWS ACTIVATOR VYOTE NIMEVI ATTACH HAPO CHINI***ENJOY
Tafuta humu jamvini hizo post zipo kwa sanaWin 7 hapana kamanda.
Kama unamtiririko wa windows 8 mimina hapa mwanangu mwenyewe
asante sana mkuu kwa msaada wakoHATUA YA 1😀ownload the ISO file
32 bit:
http://msft-dnl.digitalrivercontent.net/msvista/pub/X15-65732/X15-65732.iso
64 bit:
http://msft-dnl.digitalrivercontent.net/msvista/pub/X15-65733/X15-65733.iso
HATUA YA 2:Modify the ISO file
UKISHAMALIZA KUDOWNLOAD ISO FILE MODIFY KWA KUONDOA CFG KWA KUTUMIA CFG REMOVER AMBAYO NIMEIATTACH KATIKA FURUSHI HAPO CHINI.
DOUBLE CLICK HIYO CFG REMOVER THEN IELEKEZE LILIPO ISO FILE THEN FUATA MAELEKEZO YA SCREENSHOOT
View attachment 79466
UKISHA MODIFY CFG WINDOWS YAKO INAKUWA KATIKA VERSION ZOTE SO WAKATI WA KUINSTALL UTACHAGUA MWENYEWE UWEKE IPI ULTMATE,PROFFESONAL,HOME PREMIUM,BASIC.......NAKADHALIKA
HATUA YA 3:Burn it to a DVD
WAWEZA KUBURN KWA MAGIC ISO, POWER ISO,ISO RECORDER AU WAWEZA KUEXTRACT NA WinRAR THEN UKABURN NA ASHAMPOO AU NERO.
PIA WAWEZA KUTUMIA WINDOWS 7 USB TOOL (HII NI KWA COMPUTER ZA KISASA ZINAZOSUPPORT USB BOOT)
JINSI YA KUWEKA WIN KWA FLASH KAMATA POST YA #91 ....https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/330840-windows-8-pro-activator-5.html
NYAYO YA 4:Install Windows
WAKATI WA KUINSALL TUMIA KEY HII
22TKD-F8XX6-YG69F-9M66D-PMJBM
HATUA YA 5:Activate Windows
***CFG REMOVER,WINRAR,ISO BURNER,WINDOWS ACTIVATOR VYOTE NIMEVI ATTACH HAPO CHINI***ENJOY
asante sana mkuu kwa msaada wako