Nunua sim nyengineWakuu nimeibiwa simu aina ya Samsung Galacy A9+.
Sikuwahi kutunza IMEI yake na wala siijui, je nawezaje kuifanya useless ili aliyeiiba asiweze kuitumia?
Msaada please.
Hili la muhimu ila what if umepata matatizo barabarani ghafla? Na Tayari umetia lock Sim CardsWekeni pin kwenye sim card ili hata simu ikiibiwa ndugu wasisumbuliwe
Samsung nao wamekuwa ni kwikwiHutaipata hata Huna Imei then unataka kutafuta namna ya kuiblock.... Bora ingekuwa Iphone angeenda kuitupa... Samsung unsiishusha jumla jumla