King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,170
- 4,334
- Thread starter
- #21
Yangu iko hivi hata siielewi,Na hiki kipengele cha system update kila nikikigusa hakuna jambo kama vile kiko blank yani
Bora hata wewe mwenye 10,mimi nina 5.1 yani kama vile wenzangu mko kwenye future mi niko miaka yesu duniani.Duuuuh mbn yangu Android 10 ila niliupdate ila bado imebaki palepale ngoja nitafute manually
Hyo simu yako Oppo hawakuwahi kutoa OS update yoyote. Kma unataka simu inayopata OS updates epuka simu za zamani na epuka simu za Tecno, Infinix, itel na brand za kichina zisizo popular.Yangu iko hivi hata siielewi,Na hiki kipengele cha system update kila nikikigusa hakuna jambo kama vile kiko blank yaniView attachment 1749173View attachment 1749183
Ni simu gani? Kumbuka kuwa company iliyotengeneza simu yako ni lazima iwe imetoa hyo update ndio utaiona. Wengine hawatoi ndio maana unakuta unapata security patches na bug fixes lakini huoni operating system update.Duuuuh mbn yangu Android 10 ila niliupdate ila bado imebaki palepale ngoja nitafute manually
Ni hii oppo F1 plus mzeeNi simu gani? Kumbuka kuwa company iliyotengeneza simu yako ni lazima iwe imetoa hyo update ndio utaiona. Wengine hawatoi ndio maana unakuta unapata security patches na bug fixes lakini huoni operating system update.