Msaada Jinsi ya ku unlock Samsung S22 plus

Msaada Jinsi ya ku unlock Samsung S22 plus

Lost Purpose

Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
26
Reaction score
18
Habari Wakuu!

Ndugu yangu kanunua hii simu ila ukiweka simcard inasoma jina la mtandao ila bars za network zipo empty. Nimejaribu katika Network options kushusha kutoka 5G to 4G to 3G to 2G ila bado tatizo ni lilelile!

Msaada tafadhali.
 
Habari Wakuu!
Ndugu yangu kanunua hii simu ila ukiweka simcard inasoma jina la mtandao ila bars za network zipo empty. Nimejaribu katika Network options kushusha kutoka 5G to 4G to 3G to 2G ila bado tatizo ni lilelile! Msaada tafadhali.
kaangalie upande wa address kama zipo..
 
Back
Top Bottom