GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,773
Waungwana nimejaribu mara nyingi ku un-install IDM
lakini nahisi huwa haiondoki moja kwa moja kwani mara tu
ninapo Install tena huwa inaendelea kuonyesha siku zile
zilizobaki kufikia mwisho, Nikiformat mashine ndio huwa
imeondoka moja kwa moja Nifanyeje?