Msaada: Jinsi ya ku track simu kwa kutumia imei tu

Mr dark light

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
298
253
Wakuu
Najua ni wazima kabisa wazee wa tech naomba msaada wenu jinsi ya ku track simu kwa kutumia imei number ya simu husika, simu imeibiwa kwa mazingira ya kufikirisha kidogo msaada tafadhali, wakat police wanaendelea na uchunguzi na mm nataka nifanye yangu
 
Back
Top Bottom