Msaada: Jinsi ya ku sync donwloaded apps kwenye iphone4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Jinsi ya ku sync donwloaded apps kwenye iphone4

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kamikaze, Jun 16, 2011.

 1. kamikaze

  kamikaze JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Salaam ama baada ya salaam wadau wote wa jf, leo nina tatizo moja ambalo nahitaji sana msaada wenu, ni kwamba nimefanikiwa kudownload some of the iphone apps kwenye itune, sasa tatizo linakuja pale ninapotaka kusync ili niweze kuzitumia kwenye simu.Nimebonyeza button ya kusync apps but inanipa alert ifuatayo;
  Are you sure you want to sync apps? all existing apps and their data on the iphone will be replaced with apps from this itune library.

  Sasa nimesita kukubali process iendelee kwa sababu nahofia nisije poteza apps ambazo tayari zipo kwenye simu na data zake kama contacts,music na n.k

  Naomba msaada wenu wa kutatua hili tatizo kwa sababu nazihitaji sana hizi apps ili niweze kuzisync.Nimejaribu kudownload through phone but naona ni expensive.
  Thanks in advance
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  You don't drag and drop them to your phone to get them on there, you go to your iPhone's page and click on the Applications tab and check the boxes of all the apps in there. Then you sync it.
   
Loading...