Msaada: Jinsi ya ku-run files zenye .jar format kwenye PC

EMPTY

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
978
Reaction score
1,196
HI GREAT THINKERS,
Nisaidie hilo kwa mwenye ujuzi. Cuz nina apps za .jar kwenye pc yangu nataka kuzi run but nashindwa.
 
Thnx for your quick rply. (Yaani, sikutegemea)
Je, Una maana EMULATOR ina run .jar za simu kwenye PC. Once again,
THNX.
 
simple, jar files ni zip folders tu. Ndani yake utakuta mafaili ya .class na manifes(utambulisho)

unachotakiwa kufanya ni kurename kutoka .jar kuja .zip na mafaili utayaona. Ila yenye .class utaweza yafungua kwa notepad au wordpad ila huwaweza kuyaso. Yamekuwa compressed.

Kuna mengi sana hapo juu ya jar files
Rahamix
 
well said,
JAR=Java Archive, just a compressed java class files, manifest file and other files
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…