Mkuu yaan kingroot ungei install kwenye pc ingekua rais sana Ku root iyo sim sema app nyingine za ku root bila Pc znazingua kama kingroot haijafua dafu

Ku root ni ninjia ya kuonda limit ambazo zimewekwa dhidi y simu na developers kwaiyo uki iroot ina maana itakua na uwezo wa kufanya mambo zaid y uwezo wake