msaada jinsi ya ku restore IMEI.MSAAADA WAKUU

msaada jinsi ya ku restore IMEI.MSAAADA WAKUU

tumlack

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
675
Reaction score
49
WAKUU HABARI ZENU...nina samsung galaxy note 2,sasa inaandika No services baada ya IMEI kupotea ghafla.nikijarbu kuangalia IMEI inaandika null/null IMEI
mwenye kuweza kunisaidia wakuu.
thanks.
 
Back
Top Bottom