Jinsi ya kufungua na kufunga computer yako kwa kutumia USB flash (hackers activities vol. 1)

Tzhacker 000

JF-Expert Member
Dec 11, 2017
445
500

Habari mpendwa???

kwa wale wenye COMPUTER jambo hili linawahusu >jinsi ya kufunga computer yako kwa kutumia Usb flash (hackers activities]

HATUA ZA KUFUATA (kuwa makini)

1. Download na install predator link hapo juu nimeweka.

2. Baada ya kuinstall ifungue kisha chomeka USB FLASH YAKO unayoiamini, haijalishi kama ina vitu au lah cha msingi iwe OG pia kama unataka iwe formated iformat kwanza (ifute kila kitu) kisha

3. Utaona kibox (dialog box) kitatokea ambacho kitakurazimu uweke PASSWORD bonyeza OK na CONTINUE

4. Baada ya hapo kinote kina key settings zinakiri kisha weka PASSWORD zako ambazo ni rahisi kukumbuka na mtu asizifahamu maana hizi utatumia kufungua na kufunga pc yako.
Na kumbuka kama ukipoteza mfano hio USB FLASH YAKO utazitumia password au key settings kufungua pc kwaiyo weka password rahisi kukumbuka wewe.
 
Zikwe

JF-Expert Member
Mar 13, 2013
214
225
Na Pia Nitaomba Unipe Faida Na Hasara Ya Kuitumia Hii Mkuu..
au Nijue tuu lakini hmna kikubwa nitakachojivunia.....!!!
 
Tzhacker 000

JF-Expert Member
Dec 11, 2017
445
500
Na Pia Nitaomba Unipe Faida Na Hasara Ya Kuitumia Hii Mkuu..
au Nijue tuu lakini hmna kikubwa nitakachojivunia.....!!!
Faida ya kwanza ni security mtu hawezi kukuingilia

hasara zake ni pale unapo sahau key settings na password Hapo unatakiwa uwe speed ukiwasha computer hakikisha ndani ya sekunde 20 uwe ume unstall hio predeta ila ukizidisha hapo oohh lazima upige window !!!!
 
Mwanaume MASHINE

Senior Member
Jun 14, 2017
172
500
Faida ya kwanza ni security mtu hawezi kukuingilia

hasara zake ni pale unapo sahau key settings na password Hapo unatakiwa uwe speed ukiwasha computer hakikisha ndani ya sekunde 20 uwe ume unstall hio predeta ila ukizidisha hapo oohh lazima upige window !!!!
siyo kweli zipo application za kureset password za aina zote ata iwe bios
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom