Mkuu mi nmefanikiwa kuhide na kulock chat za wasap na sms za kawaida ila call nilihangaika cjapata msaada kweny wasap natumia gb wasap ina kipengere cha kuficha na kulock na sms nmetumia app ya sms inayoitwa mood massege ipo playstore ila hiyo gbwasap haipo playstore ipo google au unaeeza omba mtu mwenye nayo akakutimia tereglam, wasap.
Yaani mtu akoshika sm yako chat ambazo ulizificha hawez kuziona hata ww huoni mpka uingize jina lakke ndo lije uingize pin au finger ijue kufunguka wasap pia hivo hivo chat za mtu hazionekani ila za watu wengine ambazo hujaficha inaziona bila hata ya kuingiza pin wala finger ..ukihitaji kuelekezwa namna ya kuset hizo setting waweza kinitafuta nikusaidie maana kwa sisi wenye vichenchede kuacha chat ovyo ni kosa .
Nb:na mi natafuta wa kunielekeza namma ya kuficha call histoy yaani nikimaliza kuongea na mchepuko ifutike call history fasta yenyewe automatically.