Msaada jinsi ya ku attach picture

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
547
Reaction score
252
Ndugu zangu mimi ni mdau kati ya wanao tuma picture hapa Jf, napata shida jinsi ya ku attach picture. Tatizo la msingi ni jinsi page inapo funguka, mfunguaji inamlazim tena kufungua picha ambayo inakuwa kwenye jpegkb badala ya mfunguaji anapofungua page na kuona picha moja kwa moja. Majibu nitakayopewa naamini kabisa si yangu pekee bali hata wengine wenye tatizo kama langu. Asanteni na poleni kwa usumbufu.
 
mkuu ukitumia Jf app hutopata shida hiyo,hiyo inatokana na jinsi mtu alivyoiupload. kwa mfano ukiupload kwa kutumia opera mini, image haiwezi kufunga moja kwa moja
 
mkuu ukitumia Jf app hutopata shida hiyo,hiyo inatokana na jinsi mtu alivyoiupload. kwa mfano ukiupload kwa kutumia opera mini, image haiwezi kufunga moja kwa moja

Mkuu donlucchese unanidai "like" nikumbushe baadae
 
Last edited by a moderator:
mkuu ukitumia Jf app hutopata shida hiyo,hiyo inatokana na jinsi mtu alivyoiupload. kwa mfano ukiupload kwa kutumia opera mini, image haiwezi kufunga moja kwa moja

Hayo Mapera ndio nini? atayatungua wapi mwenzetu huyu?

Cc utafiti
 
Last edited by a moderator:
...mkuuu weka picha tuone,teh teh ngoja waje wadau akina Dotworld na MziziMkavu huwa wana weka picha vizuri sana....
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nina tatizo la kutojua kuweka picha. Na mimi nitafaidi utalaamu leo.

Tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…