Msaada: Jinsi ya ku-attach picha

Msaada: Jinsi ya ku-attach picha

abdulh iddy

Senior Member
Joined
May 28, 2015
Posts
159
Reaction score
6
Habari, ni matumain yangu mmeamka salama na wazima wa afya, nilikuwa naomba kujuzwa jinsi ya kuambatanisha hoja yako na picha. Kuattachment kunanisumbua sana.

Msaada wenu jaman
 
Hata mimi huwa cjui,ngoja tuwasubiri wataalamu wa IT waje watupe maujanja.
 
ImageUploadedByJamiiForums1438332634.895110.jpg
Ujaelewa nn hapo
Mbona rahisi tu attachment ya pic
 
Nenda kweny option ya replay then angalia kwa chini sign ya frame ya pic then nenda library choose your pic then apload that it
Note
Lkn inategemea na aina ya mobile unayo tumia
 
Angalia screenshot hizi hapa chini, weka mouse juu ya picha ili uione kwa ukubwa wake

moja.png

mbili.png
 
Habari, ni matumain yangu mmeamka salama na wazima wa afya, nilikuwa naomba kujuzwa jinsi ya kuambatanisha hoja yako na picha. Kuattachment kunanisumbua sana.

Msaada wenu jaman

"kuatachment" kunakusumbua....

Pole sana ngoja waje wajuzi wa kuattachment wakusaidie. Hata mimi sijui.
 
Nenda kweny option ya replay then angalia kwa chini sign ya frame ya pic then nenda library choose your pic then apload that it
Note
Lkn inategemea na aina ya mobile unayo tumia

Mkuu, hiyo option ya ku "replay" mbona siioni?
 
asnt kwa maelekez mazuri hata mm nimejuwa leo
 
Attachments

  • 1438441714859.jpg
    1438441714859.jpg
    72.9 KB · Views: 92
Najaribu hapo
 
Attachments

  • 1438443796691.jpg
    1438443796691.jpg
    75.6 KB · Views: 111

Similar Discussions

Back
Top Bottom